JINSI YA KUWAONDOA VIRUS AINA YA MALWARE
Habari yako ndugu jamaa na rafiki unaependa kujifunza kila leo kupitia songeacomputerlab.blogspot.com.leo ninayo furaha kubwa kushare na wewe juu ya hili somo hili dogo linalohusu virus aina ya malware .Ni matumaini yangu kuwa litakuwa na msaada mkubwa sana kwa upande wako/wenu ninyi mtakaobahatika kupitia somo hili ,kwani wengi wamekuwa wakisumbuliwa sana na tatizo hili.
kwanaza kabisa tuanze kujua malware ni virus wa aina gani? OK!....
MALWARE;Ni moja ya virus wabaya kabisa,na wana uwez wa kula hata mafile yako yote kwenye computer yako.aina hii ya virus mara nyingi huwa tunawachukuwa kutoka katika mitandaona websites mbalimbali either kwa kujua au kwa kuto kujua
ZIFUATAZO NI NJIA WANAZOTUMIA KUINGIA KWENYE COMPUTER YAKO
- Pale unapokuta tangazo wanakuambia click here to win or click here to view
- Your computer has virus click here to remove
- Pia unapokuwa unadownload software,nyimbo,nk kwenye website ambazo haziko safe/salama , unaambiwa click here to download na wewe unaclick tu kisha hamna cha sofware wala utumbo wowote ule
- Pia pale unapotumiwa emeil kutoka kwa mtu ambe humfaham na mara tu unapofungua computer yako inazima na ukija kuwasha sasa kila unacho fungua kinakuwa kinafunguka kama VLC,au vitu ninafofanana na hivyo........Na hapa ndo wengi huanza kushtuka na kujua kuwa computer yangu ina wadudu na kuanza kutafuta njia tofauti tofauti za kuweza kuwaondoa mwishowe hujikuta amepanic na kushindwa kufanikisha zoezi la kuwaondoa wadudu hawa(MALWARE)
1. Izime computer yako direct(kwa kubonyeza sehem ya kuwashia)
2. Iwashe na uachague safe mode with networking
(tumia mishale ya kushuka chini mpaka kwenye hiyo option then bonyeza enter)
3. Ukiingia ndani connect na internet then ingia kwenye mtandao . nenda google.com na uandike malware bytes then enter.
4. Chagua website ya malware bytes ambayo ni malwarebytes.com.
Mara nyingi huwa inakuwa ya kwanza.
5. Ikifunguka utaona sehem wameandika free download bonyeza hapo then fata maelekezo
6. Ukimaliza kudownload install na ufanye full scanning.
7. Itatumia dakika 10 hadi 30 kilingana na uwingi wa vitu kwenye pc yako.
8. Ikimaliza itakuletea message kuna malware imedetect, wadelete na u finish.
9. Itakuomba kurestat irestat na hapo utakuwa safe kabisa.
NB
_malware bytes ni moja ya anti virus bora kabisa kwasababu ukiingia kwenye website yenye virus haitafunguka hivyo utakuwa safe_
*ALTENATIVE*
unaweza idownload malware bytes kwa njia ya kawaida na ukaizima pc yako direct then ukaiwasha na kuchagua safe mode.
Hapo utaingia ndani na kui install then ukafanya full scanning ya computer yako na ukafata hatua zile za scanning pale juu..ASANTE
KILA SIKU USIKOSE KUTEMBELEA SONGEACOMPUTERLAB.BLOGSPOT.COM KWA KWA TIPS & TRICK KAMA HIZ
0 comments:
Post a Comment