Japan Yazindua Treni Inayokimbia kwa Kasi Zaidi Duniani
TOKYO: Serikali ya Japan imezindua garimoshi (maglev) ambalo linakimbia kwa kasi zaidi kuliko garimoshi yoyote duniani.
Garimoshi hilo lina uwezo wa kwenda Maili 374 sawa na Kilometa 603 kwa saa.
Hayo ni mafanikio makubwa kwenye nyanja ya teknolojia ya usafirishaji nchini humo jambo ambalo serikali ya nchi hiyo imesema kuwa litasaidia kurahisisha usafiri wakati wa mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020.
ikikumbukwa kuwa mwaka 2020 kutakuwa na mashindano makubwa yatakayofanyika nchini humo ya Olympic, mashindano ambayo yanakusanya watu wengi sana kutoka katika nchi mbalimbali duniani .Hivo kuwepo kwa treni hiyo kutaweza kurahisisha usafiri wa ndani kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine na pia kwa wakati.
Hongera sana kwa japani kwa kuonyesha kupiga hatua kwenye technolojia
Hongera sana kwa japani kwa kuonyesha kupiga hatua kwenye technolojia
kwa maelezo zaidi soma hapa
0 comments:
Post a Comment