JE UMESHAPAKUWA TOLEO JIPYA LA WHATSAPP?

Image result for whatsapp update

WhatsApp inafanya maboresho makubwa yakimuundo tangu kuanzishwa kwake miaka takribani nane iliyopita, kuanzia sasa watumiaji wa mtandao huo sasa wataweza kuweka status
ambazo zinajifuta baada ya masaa 24.

Maboresho haya yanategemewa kusambazwa kwa watumiaji ulimwengu mzima kwa taratibu kuanzia tarehe 20/02/2017, katika hali ya kawaida tunategemea ndani ya mwezi mmoja ujao watumiaji wengi watakuwa tayari wamepata toleo jipya   .

(Mimi nimepata *LEO TAR 24/2/2017*) Kama toleo hilo jipya la WhatsApp limekufikia katika soko la apps katika simu yako basi unachohitaji ni kusanikisha na kisha
utaweza kuenjoy huduma hiyo.

*Je toleo hili linakuja na nini kipya?!*

Image result for whatsapp update
Kwa ufupi toleo jipya la WhatsApp litaletakipengere kipya ambacho watumiaji wataweza kusambaza video,picha, au GIF.Kama unahisi kitu hiki sio kipya ni kweli sio kipya maana hii ndio namna ambayo mtandao wa Snapchat umekuwa ukifanya kazi, tayari Instagram walikwishaiga mtindo huu wa Stories� hivyo WhatsApp ni kampuni ya pili inayomilikiwa na
Facebook kuiga mtindo huu.
Share on Google Plus

About mboo safi nene na ndefu

0 comments:

Post a Comment