Kampuni ya Huawei ya Nchini China imetoa simu 'smart phone' nyembamba zaidi kwa dunia. kingine kizuri kutoka Huawei, hapa tunaongelea Huawei Ascend P6. simu hii bila shaka imetoka ilikutikisha soko la simu za iphone na samsung galaxy.
Kampuni ilichagua siku ya kuachia 'smart phone' hiyo iwe tarehe 18 mwezi wa 6. mwanzoni mwa mwaka 2013 kampuni ilikua ya nne kwa utengenezaji wa 'smart phone' kwa dunia. Huawei Ascend P6 inatumia 'Os' ya Andoid. huawei wamesema kwa bei iliyo nzuri itawafanya watu ambao hawakufikiria kununua hiyo simu kuinunua. kampuni ilisema simu ni 6.18mm kwa wenbamba hivyo ni nyembamba kwa dunia, kamera yake ya mbele ina 'megapixel' 5 kwa ajili ya kupiga picha za mmiliki wa simu ili kuzitupia katika mitandao ya kijamii.
Hata hivyo Huawei wanafanya kazi kwa bidii sana ili kufikia lengo lao la kuwa 'top brand' katika mwaka 2016
0 comments:
Post a Comment