Msomi mmoja kutoka Ufaransa aliyekuwa anaitwa Pascal, alianzisha chombo cha kufanyia hesabu, ambacho alikitengeneza kwa ajili ya kumsaidia baba yake katika kazi za hesabu, lakini hakikuwa na sifa bora kama ilivyotakiwa. Kisha baada ya hapo kiliendelezwa na msomi mwengine kutoka Ujerumani, ambaye alijulikana kwa jina la Lebnitz na kuzidishwa ubora zaidi, kikawa kinafanya kazi zote za hesabu, kama vile kujumlisha, kutoa, kugawanya na kuzidisha, badala ya kufanya kazi za kuzidisha na kugawanya tu. Kisha msomi mwengine kutoka Uingereza alikuja kuanzisha chombo chengine cha hesabu, ambacho kilikuwa na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu. Chombo hicho kilikuwa na sehemu kuu tatu, ambazo sehemu ya kwanza ilikuwa ni kwa ajili ya kuhifadhia kumbukumbu, sehemu ya pili ilikuwa ni kwa ajili ya kufanyia hesabu, na sehemu ya tatu na ya mwisho ilikuwa ni kwa ajili ya kuchapishia. Pascaline first Calculator more
HISTORIA YA KOMPYUTA TOKA MWAKA 1642
HATUA KABLA YA MWANZO WA KOMPYUTA (1642)

0 comments:
Post a Comment