FURSA ZA KAZI - EAC

EAC Makao Mkuu Arusha wametangaza nafasi za kazi nyingi katika fields mbali mbali- HR & Admin, Finance, Trade, Customs, Tourism, Civil Aviation, Research and Planning, Infrastructure, Agriculture & Livestock, Legal, etc.
Nawaombeni Watanzania wenzangu kuchangamkia hizo fursa ambazo hazitokei mara nyingi. Kwa uzoefu wangu wa kipindi cha miaka kumi (10) kama Mkuu wa Utawala wa EAC, tulikuwa tunapata shida kupata Watanzania wenye sifa kila tulipokuwa tunatangaza nafasi. Na tatizo si kwamba hakuna Watanzania wenye sifa, tatizo ni " lack of aggresiveness and lack of confidence". Tujifunze kuwa aggresive na kijiamini na tusikalie kulalamika kwamba nafasi nyingi ktk EAC zinachukuliwa na majirani zetu!!
Tafadhali tembelea website ya EAC: www.eac.int ili kupata details za nafasi zilizotangazwa na mtume maombi kufuatana na nafasi ambazo mnaona mna sifa zinazohitajika. Tafadhali jitahidi ku-share ujumbe huu kwa Watanzania wengi iwezekanavyo. Kama kuna Mtanzania mwenzangu anahitaji ushauri usisite kuni contact Ili tuweze kusaidiana. Jamani msizembee kuchangamkia hizi fursa. Mungu ibariki Tanzania.

Share on Google Plus

About mboo safi nene na ndefu

0 comments:

Post a Comment