Je, Ungependa kutumia flash Disk kwenye Simu yako?



Uwenda ikakushangaza kidogo, hata hivyo jambo hilo linawezekana kabisa bila shaka yoyote. Tazama picha chini.

Unachotakiwa kufanya ni kununua usb cable yenye kichwa kama ya port ya computer wakati huo ule upande mwingine ikiwa inauwezo wa kuingiliana na simu yako.

Kwa simu nyingi hasa zenye uwezo mkubwa wa betri kama 4000 mAh, 5000 mAh na kuendelea huja na usb caple mbili moja kati ya hizo hutumika kugawa charge kwa simu nyingine kwakuwa uwezo wa betri hizo huwa ni mkubwa sawa na kifaa kinachoitwa power bank.

Tazama picha kwa msaada zaidi. Na uta enjoy vitu vilivyo katika flash disk yako kwa kutumia simu yako ya mkononi, pia kuamisha files au picha zako kutoka kwenye simu na kuweka kwenye flash disk. Kama kuna swali au maoni karibu sana.
Share on Google Plus

About mboo safi nene na ndefu

0 comments:

Post a Comment