NCHI YA CHINA YAZIDI KUZIPIKU NCHI ZILIZOTANGULIA KUKUA KITECHNOLOJIA ,Wametengeneza darubini kubwa marambili zaidi ya ile iliokuako mwanzoni


China yatengeneza darubini kubwa zaidi kwa ajili ya kuchnguza mambo ya anga duniani.
Serikali ya China inamalizia mradi mkubwa wa kutengeneza darubini kubwa zaidi duniani itakayofanya kazi ya kuchunguza mwenendo wa mambo ya anga na nyota.
Darubini hiyo (telescope) ina ukubwa wa mita 500 na inatarajiwa kuwa kubwa mara mbili zaidi ya darubini ya sasa inayoongoza kwa ukubwa.
Kazi kubwa ya kituo hicho itakuwa ni kuchunguza kiasi cha gesi ya hydrogeni ambacho kinasemekana ndio mwanzo wa maisha duniani. Pia darubini hiyo itachunguza uwezekano wa kuwepo kwa maisha na viumbe huko angani na kuchunguza mienendo ya nyota zinazoenda kasi zijulikanapzo kama pulsar.
Inaonekana uchina inataka kuingia rasmi kwenye ushindani wa sayansi za mambo ya anga na mataifa kama Marekani na Urusi.
Share on Google Plus

About mboo safi nene na ndefu

0 comments:

Post a Comment