Kampuni moja nchini Ufaransa maarufu sana kwa utengenezaji wa program za simu (Mobile App) za kimazingaubwe inayo milikiwa na Mikael Montier imeonekana kuwa na nembo (Logo) inayoendana sawa sawa na nembo ile ya Clouds TV ya nchini Tanzania. SwahiliTech bado inaendelea fatilia ni nani kati ya manguli hawa wawili aliekosa ubunifu na kuamua kuiga nembo ya mwenzake, je wanajuana?
Clouds Tv kwa mara ya kwanza ilionekana kuwa na nembo kama hii.
Nabaadae Kidogo kubadilika na kuanza kutumia nembo yao mpya ambayo inaonekana kufanana na nembo ya jamaa huyo wa Kifaransa Mikael Montier https://play.google.com/store/apps/details?id=com.magictrick.app
Endelea tembeleaTECHTZ kujua kitachoendelea na nani ataeweza kumshitaki mwenzake kwa kutumia utambulisho wa nembo yake kwa kutumia sheria za haki miliki za kitaifa na kimataifa.
0 comments:
Post a Comment