
Kuna aina nyingi sana za TV, AC, Satellite na DVR katika matumizi yetu ya kilasiku.
Maranyingi imekuwa kazi ngumu sana kupata remote control ya kifaa chako pale inapo potea au kuharibika pia ningumu sana kukuta remote moja unaweza kuitumia kwenye vifaa vyako vyote nyumbani bila kujali aina ya kifaa hicho.
Kama wewe nimtumiaji wa simu ya Android ingia Google Play na upakue App hii na uanze furahia kutumia simu yako kama remote kwa vifaa vyako vyote ndani ya nyumba yako.kwakuwa kupitia app hii unaweza ukasense na kutumia smart yako kama remote control
kwakuwa kupitia app yenyewe inakupa maelekezo yakufuata hatua kwa hatua mpaka unaanza kuitumia
0 comments:
Post a Comment