Mapema mwaka huu kampuni inayotoa huduma za ujumbe mfupi wa picha, sms, sauti na video ya Whatsapp ilitangaza kufungia huduma kwa baadhi ya simu kutoka katika baadhi ya makampuni kwa madai ya kuboresha zaidi huduma zao.
Kwa mujibu wa Whatsapp, wameamua kusitisha kutoa huduma kwa baadhi ya simu zinazotumia mifumo endeshi ya kizamani ili kuendana na kasi ya ukuwaji wa soko la simu duniani.
Kwa mujibu wa Whatsapp, simu zitakazositishiwa huduma ni pamoja mwishoni mwa mwaka huu ni pamoja na simu zinazotumia mifumo endeshi ya:
-Android : Android 2.1 and Android 2.2
– Windows : Windows Phone 7
– iPhone: 3GS/ iOS 6
– Windows : Windows Phone 7
– iPhone: 3GS/ iOS 6
Pia whatsapp wamewatahadharisha watumiaji wa simu za,
– Blackberry 10 running on BBOS
– Nokia S40 running on Symbian S40
– Nokia S40 running on Symbian S40
kuwa kufikia June mwaka 2017 watakuwa wanasitisha kuzipa sapoti simu hizo pia.
Kama wewe ni mmoja wa wahanga wa maamuzi haya ya whatsapp usisite kuacha ujumbe wako kwenye sehemu ya maoni
0 comments:
Post a Comment