TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA KOMPYUTA JUU YA KIRUSI CHA “Ransomware”

Image result for ransomware attacks
Je wajua “Ransomware”
-Ni kirusi kinachotumwa na mdukuaji na mtandao ambapo kimepewa jina la “Ransomeware” kirusi hiki ni software ambayo inatumiwa na mtumiaji
1.Links(Reverse Backtrack Links)
Inamaanisha ukifungua Tasksche.exe attachment inamvutia aifungue na ukiifungua tu hii attachment unawapa nafasi hao wadukuaji na kuiingia katika
>Simu yako ya mkononi
>Kompyuta
So huyo mdukuzi ufunga access ya kutumia device yako (YAANI ANAIFUNGA SCREEN YAKO) nay eye ndo anakuwa anakuwa na acess za kuitumia na anafanya kitu kinaitwa (FILES ENCRYPTION) hivyo wewe hautakuwa na uwezo wa kutumia Files zako au chochote katika device zko
JINSI YA KUJARIBU KUZUIA AU KUJIKINGA NA RANSOMARE
>Inatakiwa uweke Antivirus ambayo ni nzuri na iwe updated kwa ajili ya usalama wako
>Kuna wale kila links wao wakiona tu wanataka kubonyeza (SO EPUKA SANA KUBONYEZA BONYEZA LINKS USIZOZIJUA)
-Attachment
-Emails
-kwa watu usiowajua
-Jaribu kuweka program au software zako ziwe up to date
-Unatakiwa ublock port zenye 139.445 na 3389 katika Firewall
-Set katika Antivirus yako iwe ina block zile Links
NB:
Kama haujui kitu au una mashaka nacho usiki acess
>Link fake
>Update Antivirus
>Epuka kufungua Attachment Usiyoijua
Share on Google Plus

About mboo safi nene na ndefu

0 comments:

Post a Comment