Huduma ya reli nchini India husafirisha mamilioni ya watu ndani ya nchi. Na sasa wanaishukuru optic fiber kwa kupeleka mtandao wa internet kila kona ya nchi.
Kiasi cha Km 45,000 (maili 28,000) za kebo za faiba zimezunguka pembeni ya reli za India ambazo hutoa huduma ya internet yenye kasi kubwa buree (wifi) kwa stesheni 115 zilizo katika mtandao huo, huduma hiyo imefadhiliwa na GoogleWi-fi imeleta mabadiliko mazuri kwenye stesheni za treni kwa kuzifanya kuwa za kidigitali na kuboresha biashara mbali mbali zinazo itaji kuwako kwa mtandao wa Internet katika sehemu hizo.
0 comments:
Post a Comment