kutokana na ongezeko kubwa la matumiz ya simu janja(smartphone) saaa hiv matumizi ya Internet yamekuwa kwa aailimia kubwa zaild ya mara 3 ya mwanzo wakati tunatumia 2g (edge) na mara tu baada ya kuja hii technology ya 3g sasq matumuzi ya smart phone nayo yakaongezeka na hivo kupelekea ongezeko la matumizi ya Internet kuwa makubwa zaidi

http://teknokona.com/2016/06/02/ericsson-utumiaji-wa-data-intaneti-waongezeka/ .                                                       
Read More