elewa maana ya tracking



......5 822 294‬: Habari za Asubuh wana IT nasikia kuna hili neno kutrack  embu mwenye elimu juu ya kutrack atusaidie..Asante

Mambo safi mdau
TRACING: (hii maarufu kufanywa na wapelelezi na makachero, ie: FBI)


Tracing maana yake ni kutafuta source ama origin. hii ni kwamba tayari nina data kamili ila natafuta chanzo.
Hapa team kama FBI inaweza ongea na network provider ie: (whats app) aruhusu information zangu ziwe released ili waweze either kunibamba ama kujua my associates. If provider atakua haonyeshi any coperation, kama whats app sasa wana end to end decription basi tracing itakua imefia hapo.
 
 TRACKING: (Hii hata wewe waeza fanya. sababu yaweza kua kubwa ama ndogo)
 Unlike Tracing, Tracking inafanyika from current to future.
Tracking inamaanisha kujua kinachoendelea katika sim ya mlengwa, anachopanga kufanya na mengine mengi, but huwezi kuona yaliyofanyika before the initiation.
Hapa tunajifunza kua information zako zinaweza kua traced katinga njia mbili. Either povider aamue kutoa information zako, au wapate source ya izo information, in this case sim ama any comunication device uliokua unatumia.
Ila kuna njia moja tu ya kuweza kutrack sim ya mtu na hii ni kuibug (kuweka kitu ndani ya sim yake) ili kufanikisha hili ni lazima uwe na sim ya mlengwa, au uwe karibu nayo (hii ni kwa tracking softwares zinazoruhusu bluetoth istallation)
 
  ONYO
Chukua hii soma na itakusaidia kuelewa kua, Hakuna namna utaweza kuinstall kitu kwenye sim yako wewe na ukatruck sim yaa mtu mwingine never.
Epuka software mbalimbali zilizoko playstore zinazosema kua zinaweza kufanya ivo. Either utaliwa hela ama utainstall bugs kwenye sim yako.
Source ; whatsap group of IT EXPERTIES
Endelea kutembelea blog hii upate dondoo mbalmbal za technology


Share on Google Plus

About mboo safi nene na ndefu

0 comments:

Post a Comment