hapa leo nasimama kumpongeza mwanafunzi wa UDOM aliyejulikana kwajina la Elisha William huyu ni mwanafunzi aliyesoma college of informatic ambaye amefanikiwa kutengeneza mtandao wa mawasiliano wa 2daysky na ambao unafanya kazi kwa ufanisi zaidi ya facebook
Kupitia mtandao wa 2daysky utaweza kuchat na marafiki, kutumiana picha na video,pia utaweza kutuma document kama vile notes, lakini pia kuweza kutengeneza group chat nk
Sasa hili huweze kujiunga na mtandao huu ni rahisi xana na bure kabisa ingia kwenye brouser yako kama i google andika 2daysky kisha nenda kajisajili nawe uweze kuwa miongoni mwa maelflu ya waliojiunga na mtandao huu wa kitanzania na uliotengenezwa na mtazania kwa lugha ya kitanzania
0 comments:
Post a Comment