DART YAZINDUA MFUMO MPYA WA KURIPIA NAULI KWA KUTUMIA KADI ZA KIELEKRONIC
"Leo tumezindua mfumo mpya wa kulipa nauli kwa kutumia kadi za kielektroniki kwa watumiaji wa usafiri wetu pendwa wa UDART
Kadi zitaanza kutumika katika vituo vikuu vya mabasi vya Kimara, Ubungo, Morocco, Gerezani na Kivukoni.
Bei ya kadi hiyo ni Sh 5,000 na itakuwa na Sh 4,500 ndani yake ambazo abiria anaweza kuzitumia kama nauli kwa safari nane."
0 comments:
Post a Comment