nini kazi/matumizi ya SOAP and REST

.......4 034 067‬:  What is soap and rest



3 013 199‬: Emmanuel hizo ni web services...
Technology inayoruhusu web apps au system kuwasiliana zenyewe automatic

 Mfano mzuri ni MAXMALIPO.... Ninachopendea maxmalipo jamaa wamecapture soko LA muhimu sana mpaka itafikia kipindi Hamna mobile au online transaction itapita bila kumgusa MAXMALIPO

 Mfano mwengine ushawahi login kwenye site ikakuambia login with facebook au Twitter.... Unavyoclick inamaana webservice ndio zinafanyakazi

 Kwakweli ni big issue hasa katika hiki kipindi vitu Vingi vinakua automated...

 Imagine mfumo wa traffic...
Unachukua data kutoka TRA.
unachukua data kutoka EWURA..
Unachukua taarifa za malipo kutoka MAXMALIPO....
MAXMALIPO yenyewe imeunganisha mifumo mengine mingi ya malipo ....

Yaani ndio ile ukizipatia fresh...Wewe ni kucode once kula bata for life

KWA UFAHAMU ZAIDI SOMA HILI JEDWALI ILI UWEZE KUJUA KAZI ZAKE NA TOFAUTI ZAKE

Share on Google Plus

About mboo safi nene na ndefu

0 comments:

Post a Comment