TANZANIA KURUSHA HELIKOPTA ILIYOTENGENEZWA NA WAANDISI WA TZ MWAKA 2018
Kwa nini wazungu Tu Na Sio watanzania Kama Si waafrika? Kwa Mara ya kwanza Tanzania itarusha angani helikopta yake inayobuniwa Na kuundwa hapahapa nchini. Matengenezo ya helikopta hiyo ya kisasa yanafanyika ktk karakana za Chuo cha teknolojia Arusha, chini ya Engineer Abel Mjema. Ktk kuitikia wito wa Mh. Rais Magufuli kuelekea ktk nchi ya viwanda, ifikapo 2018 helikopta hiyo itarushwa angani rasmi. Viva Tanzania, Viva Afrika.
0 comments:
Post a Comment