Usiku wa kuamkia jumapili hii mji wa Orlando Florida ulikumbwa na huzuni baada ya mwanaume mmoja kuvamia kablu moja ya watu wenye mahusiano ya jinsia moja na kufyatua risasi, inakadiriwa mpaka sasa takribani watu 49 wamepoteza maisha yao katika tukio hilo.
www.teknokona.com/2016/06/13/ijue-silaha-shambulio-huko-florida/
0 comments:
Post a Comment